Ni madhara yepi ya vurugu ya wanaume katika jamii
From Audiopedia
Katika jamii, vurugu yaweza kusababisha:
1. Marudio ya vurugu kuendelea kwa jamii zijazo. 2. uendelezaji wa dhana potovu kuwa wanaume ni bora kuliko wanawake. 3. ubora wa maisha wa kila mtu huadhirika kwa sababu wanawake hawashiriki katika jamii zao wanapouliwa au kunyamazishwa na vurugu.