Nawezaje kuzuia maumivu ya mgongo

From Audiopedia
Revision as of 17:24, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Maumivu katika sehemu ya chini ya mgongo husababishwa na kukua kwa mtoto.

Namna ya kuzuia maumivu haya:

  • Tafuta mtu unayemwamini ili aweze kukusugua mgongo.
  • Zungumza na familia yako ili waweze kukusadia na kazi nzito.
  • Hakikisha kuwa unapoketi au unaposimama, mgongo wako uko wima.
  • Hakikisha kuwa unalala kwa upande na uweke kitambaa katikati ya miguu yako.
  • Unapohisi maumivu mgongoni, jaribu zoezi la paka aliyekasirika. Piga magoti na mikono yako pia ikiwa sakafuni. Kisha, inua mgongo wako na uurudishe chini. Rudia.
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010714