Nawezaje kuzuia shida zinazotokana na moto na nishati

From Audiopedia
Revision as of 17:24, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Ili kutumia nishati kwa njia inayofaa:

  • tahadhari nishati isimwagike chini wala kugusa ngozi yako. Ikishika ngozi yako, osha mara moja.
  • weka kitu chochote kinachoweza kuchomeka mbali na jiko. Hii itazuia kusambaa kwa moto na kusababisha uharibifu. Weka nishati mahali salama, mbali na unapopikia (na usitumie kibiriti wala sigara maeneo hayo).
  • weka jiko mahali ambapo kuna hewa.
  • tahadhari sana unapowasha jiko.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030104