Nawezaje kuzuia watoto wangu kutokana na alama za majeraha

From Audiopedia
Revision as of 17:24, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Hizi hapa ni baadhi ya njia zitakazozuia alama kutoka kwa vitu moto au vyakula:

Geuza mahali pa kushikilia sufuria za kupikia mbali na watoto.

Weka vyakula moto na vya majimaji mahali salama mbali na watoto.

Usiruwaruhusu watoto kufungulia maji moto kwa bafu wakiwa pekee yao.

Weka joto ya maji kuwa ya kati ili kuzuia alama ya kuchomeka ikiwa watoto watafunguwa maji ya moto

Wafunze watoto dhidi ya kutocheza karibu na watu wanaotumia vinywaji moto au jikoni chakula kinapoandaliwa.

Usimshike mtoto ukiwa na vinywaji moto au chakula.

Sources