Ni shida gani za kawaida za njia ya kupitisha mkojo
From Audiopedia
Kuna aina 2 ya maambukizi ya njia ya kupitisha mkojo. Maambukizi kwenye kibofu cha mkojo ndio ya kawaida na rahisi kutibu. Maambukizi ya figo ni hatari sana. Yanaweza kusababisha kuharibika kwa figo na hata kifo.
Msichana au mwanamke wa umri wowote - hata mtoto mchanga - anaweza kupata maambukizi ya njia ya kupitisha mkojo.