UKIMWI ni nini

From Audiopedia
Revision as of 17:23, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

HIV (VVU) ni mdudu mdogo sana, inajulikana ka virusi, kwamba huwezi kuona. UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini) ni ugonjwa ambao unaendelea baadaye, baada ya mtu kuambukizwawa virusi vya UKIMWI.

Mtu hupata UKIMWI wakati mfumo wa kinga unapokuwa dhaifu na kushindwa kupigana na maambukizi. Mara nyingi dalili ni; Kuwa mgonjwa kwa muda mrefu na magaonjwa ya kawaida kama vile kuhara au mafua. Dalili za UKIMWI zinaweza kuwa tofauti kutoka kwa mtu mwingine hadi mwingine. Mtu aliye na UKIMWI anaweza kupata maambukizi ya magonjwa amabayo huwa nadra kwa wasio na virusi vya ukimwi, kama baadhi ya saratani au maambukizi ya ubongo.

Lishe bora na madawa yaweza kusaidia mwili kupambana na maambukizi na kukumuwezesha kuishi kwa muda mrefu. Lakini hakuna tiba ya virusi vya ukimwi.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw011003