Nitawezaje kutambua ishara za kuwacha utumizi wa mihadarati

From Audiopedia
Revision as of 17:23, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Ishara za kwanza:

  • kutetemeka
  • hisia za kuudhika au wasiwasi
  • kutokwa jasho
  • maumivu mwilini
  • kichefuchefu, kutapika, kuumwa na tumbo

Ishara hizi huisha zenyewe au huenda zikaongezeka. Zinapoongezeka, lazima umwone mhudumu wa afya mara moja.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010312