Nini hufanyika wakati wa huduma ya kabla ya kujifungua
From Audiopedia
Wakati wa huduma ya kabla ya kujifungua, mkunga au mhudumu wa afya atakuuliza kuhusu mimba ambazo umekuwa nazo hapo mbeleni, watoto uliowazaa, na kama ulikuwa na shida zozote kama vile kuvuja damu, au watoto waliokufa. Habari hii huwasaidia kujitayarisha kwa lolote lile:
Mkunga anaweza: