Nawezaje kuweka chakula changu salama

From Audiopedia
Revision as of 17:22, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Magonjwa mengi ya utumbo husambazwa kutokana na chakula. Wakati mwingine watu ambao huvuna au kutayarisha chakula husambaza viini kutoka kwa mikono yao hadi kwenye chakula. Wakati mwingine viini na ukungu unaopatikana hewani huanza kumea kwenye chakula na kukifanya kiharibike. Hii hufanyika sana wakati chakula hakijahifadhiwa au kupikwa vizuri, au kinapozeeka.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010119