Nitazuiaje shida zitokanazo na futari ya sumu lead poisoning

From Audiopedia
Revision as of 17:22, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Ikiwa unafanya kazi palipo na futari, waweza kuikinga familia yako na wewe pia kwa:-

  • Kutopata unga wa futari kwa mikono yako au mdomo.
  • Kuwaweka watoto wako mbali na unapofanya kazi.
  • Kupanguza sakafu na nguo badala ya kufagia, ndiposa vumbi kidogo tu ya futari ichanganyikane na hewa.
  • Nawa mikono yako vyema baada ya kazi.
  • Kula chakula kilicho na calcium na iron. Vyakula hivyo husaidia futari kutoingia kwa damu yako.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030116