Ni vipi kazi ya ufundi yaweza kuaathiri afya yangu
From Audiopedia
Aina nyingi ya kazi za kiufundi hufanyika manyumbani, pale wanawake wanapofanya kazi wakiwa pekee yao. Hii huwafanya kujua shida chache za kawaida za kiafya zinazosababishwa na kazi na vipi kuzizuia.
Shida za kawaida za kiafya zinazosababishwa na ufundi: