Nini husababisha upungufu wa damu mwilini

From Audiopedia
Revision as of 17:21, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Sababu moja ni kukosa kupata chakula chenye wingi wa madini aina iron, kwa vile iron inahitajika kwa kutengeneza chembechembe nyekundu za damu.

Sababu zingine: Malaria, ambayo huharibu chembechembe nyekundu za damu

Aina yoyote ile ya kupoteza damu kama vile:

  • hedhi nzito (kuwekwa aina IUD ya kupanga uzazi)
  • kujifungua
  • Kuharisha damu kutokana na vijidudu na minyoo
  • vidonda vya tumboni vinavyovuja damu
  • kidonda ambacho hakiachi kuvuja damu
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw010416