Unyanyasaji wa kijinsia ni nini

From Audiopedia
Revision as of 17:21, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Unyanyasaji wa kijinsia yamaanisha kusumbuliwa kwa hali isiyoridhisha na mwajiri, meneja au mwanamume aliye na mamlaka kwa mwanamke.

Hii ni pamoja na kusema jambo linalohusiana na ngono ambalo humfanya mwanamke kuwa na wasiwasi, kumpapasa katika hali ile ya kujamiiana au kumlazimisha kujamiiana. 

Kila mwanamke yuko hatarini ya unyanyasaji wa kijinsia. Haijalishi ikiwa anafanya kazi kwa familia yake nchini au katika kiwanda jijini.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030125