Nawezaje kuzuia shida za kiafya kutokana na kazi za kiufundi
Utengenezaji wa vyungu:
Fungua madirisha na milango ili hewa safi iingie. Puliza hewa nje ukitumia kiyoyozi ikiwa kuna umeme. Vaa kifaa cha kujikinga ambacho huzuia vumbi kuingia mwilini.
Upakaji rangi wa vyungu: Angalia 'Futari ya sumu( lead poisoning)'
Ushonaji, Ushonaji wa vitambaa vya maua, utengenezaji wa lace: Ikiwa itawezekana, Ongeza kiasi cha mwangaza unapofanaya kazi na upumzike mara kadhaa iwezekanavyo. Angalia habari zinazoangazia 'Kukaa/kuketi au kusimama kwa muda mrefu na 'kurudia mzunguko uo huo'.
Tumia pamba: Husaidia hewa safi kuingia ndani kwa urahisi, vaa kifaa cha kuzuia nyuzi kuingia mwilini.
Tumia Rangi na dyes: Angalia habari zinazoangazia 'Kufanya kazi ukitumia Kemikali'.
Utengenezaji wa sabuni: Tumia glavu za kukukinga, hakikisha lye haiingi kwa macho wakati wowote.