Nifanye nini kuzuia au kumaliza unyanyasaji wa kijinsia kazini

From Audiopedia
Revision as of 17:21, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Haijalishi anachopitia mwanamke, unyanyasaji wa kijinsia haufai. Haukubaliwi na sheria za nchi nyingi.

Ikiwa ushawahi kunyanyaswa hapo awali, jaribu kuzungumza na mtu unayemwamini ili akusaidie. Unaweza kuwaeleza wanawake wengine uliyoyapitia. Japo unaweza kushindwa kumaliza unyanyasaji, kuwaeleza wenzako uliyoyapitia kunaweza kuwasaidia kuepuka kunyanyaswa.

Jaribu kuepukana na wanaumme waliowanyanyasa wanawake wengine mahali unapofanya kazi.

Usiende mahali popote pale na wafanyikazi wenzako wa kiume.

Chunguza ikiwa kuna sheria zinazokulinda kutokana na unyanyasaji.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030127