Ni vipi ambavyo Virusi vya ukimwi havisambazwi

From Audiopedia
Revision as of 17:21, 18 July 2023 by Marcelheyne (talk | contribs) (XML import)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Virusi vya ukimwi haviwezi kuishi nje ya mwili wa binadamu kwa muda mrefu. Haviwezi kuishi hewani au kwenye maji.

Hii inamaanisha huwezi kupata virusi vya ukimwi kwa njia zifuatazo:

  • kwa kumshika mtu, kumbusu au kumkumbatia
  • kula pamoja
  • kulala kitanda kimoja
  • kuvaa nguo za muathiriwa au kufua nguo, taulo, malazi au choo, ukifuata maagizo uliyopewa
  • kwa kumuuguza mtu aliye na virusi vya ukimwi au ugonjwa wa Ukimwi, ikiwa utafuata maagizo
  • kuumwa na wadudu


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw011005