Nawezaje kuwakinga watoto wangu kutokana na kuzama: Difference between revisions
From Audiopedia
Marcelheyne (talk | contribs) (XML import) |
Marcelheyne (talk | contribs) No edit summary |
||
Line 1: | Line 1: | ||
{{QRCode}} {{#widget:MP3|id={{filepath:Sw020606.mp3}}}} | {{QRCode}} {{#widget:MP3|id={{filepath:Sw020606.mp3}}}} | ||
Watoto wanaweza kuzama chini ya dakika mbili na katika kiasi kidogo cha maji hata kwa maji ya karai bafuni. | Watoto wanaweza kuzama chini ya dakika mbili na katika kiasi kidogo cha maji hata kwa maji ya karai bafuni. | ||
Kuzama majini kunaweza kusababisha bongo kuharibika au kifo. Ili kuzuia watoto wasizame, wazazi na wengine wanao walea watoto wanastahili kuwachunguza watoto walio karibu au ndani ya maji. | Kuzama majini kunaweza kusababisha bongo kuharibika au kifo. Ili kuzuia watoto wasizame, wazazi na wengine wanao walea watoto wanastahili kuwachunguza watoto walio karibu au ndani ya maji. |
Latest revision as of 13:37, 19 February 2024