Malaria ni nini: Difference between revisions
Marcelheyne (talk | contribs) (XML import) |
Marcelheyne (talk | contribs) (XML import) |
||
Line 1: | Line 1: | ||
{{QRCode}} {{#widget:MP3|id={{filepath:Sw011702.mp3}}}} | |||
Malaria ni ugonjwa hatari unaosambazwa na mbu. Malaria hupatikana sehemu nyingi ulimwenguni. Katika Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara, malaria inaongoza katika kusababisha vifo, magonjwa na ukuaji na maendeleo mabaya miongoni mwa watoto wachanga. Inakadiriwa kuwa mtoto mmoja hufa kila sekunde thelathini kutokana na malaria sehemu hii. | Malaria ni ugonjwa hatari unaosambazwa na mbu. Malaria hupatikana sehemu nyingi ulimwenguni. Katika Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara, malaria inaongoza katika kusababisha vifo, magonjwa na ukuaji na maendeleo mabaya miongoni mwa watoto wachanga. Inakadiriwa kuwa mtoto mmoja hufa kila sekunde thelathini kutokana na malaria sehemu hii. | ||
Line 8: | Line 8: | ||
* ''Audiopedia ID: sw011702'' | * ''Audiopedia ID: sw011702'' | ||
[[Category:Kiswahili]] [[Category:Malaria]] | [[Category:Kiswahili]] [[Category:Malaria (sw)]] |
Latest revision as of 17:29, 18 July 2023