Nitazuiaje shida zitokanazo na futari ya sumu lead poisoning - Audiopedia
Ikiwa unafanya kazi palipo na futari, waweza kuikinga familia yako na wewe pia kwa:-
- Kutopata unga wa futari kwa mikono yako au mdomo.
- Kuwaweka watoto wako mbali na unapofanya kazi.
- Kupanguza sakafu na nguo badala ya kufagia, ndiposa vumbi kidogo tu ya futari ichanganyikane na hewa.
- Nawa mikono yako vyema baada ya kazi.
- Kula chakula kilicho na calcium na iron. Vyakula hivyo husaidia futari kutoingia kwa damu yako.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw030116