Nitawezaje kutambua ishara za kuwacha utumizi wa mihadarati - Audiopedia
Ishara za kwanza:
- kutetemeka
- hisia za kuudhika au wasiwasi
- kutokwa jasho
- maumivu mwilini
- kichefuchefu, kutapika, kuumwa na tumbo
Ishara hizi huisha zenyewe au huenda zikaongezeka. Zinapoongezeka, lazima umwone mhudumu wa afya mara moja.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw010312