Nitajuaje nipo na ugonjwa wa zinaa - Audiopedia
Unaweza kuwa na ugonjwa wa zinaa iwapo utashuhudia na dalili zifuatazo;
- Harufu mbaya au harafu isiyo ya kawaida kutoka kwa uke.
- Sehemu za siri zinazowasha
- Kuhisi uchungu katika sehemu za siri
- Uvimbe au malengelenge kwenye sehemu za siri
- Kuhisi uchungu sehemu ya chini ya tumbo au kuhisi uchungu wakati wa ngono
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw010504