Madini yanahitajika kutengeza damu na kusaidia kuzuia ugonjwa wa ukosefu wa damu mwilini. Mwanamke anahitaji kupata madini mengi maishani mwake, hususan wakati anapopata siku za mwezi na anapokuwa mja mzito.
Vyakula hivi vinayo madini ya kutosha:
Nyama (maini, moyo na figo)
Damu
Kuku
Mayai
Samaki
Mahragwe
Panzi, kriketi na mchwa
Peas
Vinginevyo pia ni kama:
Kabeji
Viazi
Koliflawa
Ndengu
Brussel sprouts
Turnips
Sunflower, simsim, mbegu za pumpkin
Strawberries
Mboga
Nanasi
Nduma
Seaweed
Broccoli
Matunda yaliyokaushwa (hususan tende)
Black-strap molasses
Waweza kupata madini zaidi ikiwa:
Utapika chakula ukitumia sufuria. Ikiwa utaongeza tomato, maji ya ndimu au limau(ambayo yako na vitamin c) kwa chakula wakati chakula kinapoiva, madini mengi yataingia kwa chakula.
Ongeza madini safi.
Weka vipande safi vya madini kwa maji ya limau kwa muda mfupi. Kisha tengeza sharubati ya limau halafu kunywa.
Ni vyema kula vyakula vya madini pamoja na matunda kama machungwa, limau au tomato(nyanya). Kwani yako na Vitamin C ambayo husaidia mwili wako kupata madini hayo katika chakula.
Sources
Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.