Nini husababishacho matatizo ya akili kwa wanawake

From Audiopedia
Jump to: navigation, search

Sio kila mtu anayehusishwa na matatizo yaliyotajwa atapata ugonjwa wa akili. Bali wanawake hupatwa na matatizo ya akili pale wanaposhindwa kumudu uwezo wa kukabiliana nao. Pia si kila tatizo la akili linaweza kutambulika. Mara nyingine tunashindwa kujua kwanini mtu anapatwa na matatizo haya.

Sababu za kawaida za matatizo ya akili kwa wanawake ni:

  • mawazo ya kila siku
  • hasara na vifo
  • mabadiliko ya maisha ya mwanamke na jamii
  • uoga.
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw011502