Nifanye nini ikiwa hedhi zangu sio nzito - Audiopedia
Hedhi nyepesi sio shida ya kiafya.
Sababu zibazokisiwa.
- Mbinu zingine za kupanga uzazi - kama vile sindano na tembe - zinaweza kupunguza hedhi ukiwa umezitumia kwa muda.
- Huenda mbegu yako ya uzazii haijatoa yai
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw010222