Ni wanawake wapi ambao wako katika hatari ya kubakwa - Audiopedia
Mwanamke yeyote anaweza kubakwa, lakini kuna uwezekano mkubwa ikiwa yeye:
- mlemavu - anatumia kiti cha miguu, kiziwi, kipofu au ana akili punguani.
- ni mkimbizi, mhamiaji, ni mkimbizi wa ndani kwa ndani au anaishi mahali ambapo kuna vita.
- anaishi mitaani au hana makao.
- ni kahaba.
- ametiwa nguvuni au yuko jela.
- anadhulumiwa na mumewe au mpenzi wake.
Mbakaji huwaona wanawake wakiwa lengo rahisi kwani hawana ulinzi kutoka kwa jamii.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw020303