Ni vipi ninaweza kuzuia magonjwa katika siku za uzeeni
From Audiopedia
Watu wengin hudhania kuwa kuzeeka inamaanisha kuwa mgonjwawakati wote. Hii sio kweli. Ikiwa mwanamke haskii vizuri, huenda ana ugonjwa ambao unaweza kutibiwa, ambao hauhusiani na umri wake. Anahitaji matibabu haraka iwezekanavyo.
Unapohisi maumivu, na umeshindwa kujitibu mwenyewe, nenda ukamwone daktari.