Ni vipi kufanya kazi kama mwanamke wa kuosha kunaweza athiri afya yangu
From Audiopedia
Wakati mwanamke anapotumia kemikali nyingi za usafi bila kutumia kinga, ngozi yake yaweza kubadili rangi na kuwa nyekundu, ipasuke na chungu na kuwa na vidonda. Makucha nayo yakawa manene na kuharibika, na kujigawanya na ngozi ya chini.