Ni vipi ambavyo naweza kuchagua chakula kizuri - Audiopedia
Wakati mwingine chakula ni kibaya hata kabla hakijapikwa wala kuhifadhiwa. Hapa kuna orodha ya mambo ya kuangalia unapochagua chakula.
Chakula lazima:
- kiwe safi, na katika msimu wake.
- kisiwe kimekwaruzwa, wala kuliwa na wadudu.
- kinanukia (hasa samaki na samaki ambaye asiwe na harufu mbaya)
Vyakula vilivyohifadhiwa na kupakiwa lazima viwekwe kwenye:
- mikebe mipya (isiyo na kutu, iliyofura wala iliyojikunja)
- vyombo ambavyo vina vifuniko safi.
- chupa ambazo hazijachibuka.
- maboksi ambayo hayajapasuka.
Samaki mwenye harufu mbaya au mikebe iliyofura ni ishara kuwa chakula kimeharibika.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw010123