Ni migogoro ipi ya kawaida ya Ndoa - Audiopedia
Migogoro ya kawaida ya ndoa ni kama yafuatayo;-
- Migogoro kuhusu majukumu
- Migogogoro kuhusu kazi za nyumba
- Migororo kuhusu watoto
- Migogoro kuhusu ngono.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw021004