tahadhari nishati isimwagike chini wala kugusa ngozi yako. Ikishika ngozi yako, osha mara moja.
weka kitu chochote kinachoweza kuchomeka mbali na jiko. Hii itazuia kusambaa kwa moto na kusababisha uharibifu. Weka nishati mahali salama, mbali na unapopikia (na usitumie kibiriti wala sigara maeneo hayo).
weka jiko mahali ambapo kuna hewa.
tahadhari sana unapowasha jiko.
Sources
Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.