Nawezaje kuzuia shida za kiafya kutokana na kurejelea mzunguko uo huo tena na tena

From Audiopedia
Jump to: navigation, search

Ikiwa ni salama, badilisha mikono au nafasi ya mwili wako unapofanya kazi. Jaribu kufanya kazi katika njia ambayo haikunji joints zako sana na haiweki shinikizo sana kwalo.

Jaribu kufanyisha joints zako mazoezi baada ya lisaa limoja, kwa kuzungusha katika mwendo kadhaa inayoweza kufanya. Hii itasaidia kunyoosha na kuimarisha tishu ziunganishazo mifupa (tendons) na misuli. Ikiwa mazoezi hayo yatasababisha uchungu, zungusha joints zako polepole na kwa upole.


Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030120