Nawezaje kuzuia Beriberi
From Audiopedia
Kula vyakula vyenye wingi wa madini aina 'thiamine' kama vile nyama, kuku, samaki, maini, nafaka, ndengu, maharagwe, maziwa na mayai. Ikiwa ni vigumu, basi itabidi utumie tembe za 'thiamine'.