Nawezaje kuwazuia watoto wangu kutokana na mshtuko wa kuumizwa na stima

From Audiopedia
Jump to: navigation, search

Kuzuia Mshtuko na kuchomeka kutokana na kuguza stima. .

Wafunze watoto dhidi ya kutoweka vidole au vyombo vingine ndani ya soketi ya stima.

Funika soketi za stima kuzuia kuchezewa.

Weka nyaya za stima mbali na watoto

Funika nyaya wazi za stima, zile zaweza kuwa na madhara ukitumia mkanda spesheli.

Sources