Nawezaje kuwakinga watot wangu kutokana na majeraha ya kuanguka

From Audiopedia
Jump to: navigation, search

Yafuatayo ni baadhi ya njia za kuwakinga watoto kutokana na majeraha ya kuanguka

Waonye na kuwakinga watoto kwa kupanda sehemu hatari ambapo wanaweza kuanguka

Usiwaruhusu watoto wacheze kwa ngazi za nyumba, veranda au wakicheza uwe makini kwa kuwaangalia

Hakikisha umedumisha usafi nyumbani na kutokua na bidhaa hatari kama visu au hata kuta ya kukwaruza

Walaze watoto wachanga kwa viti vinavyo wakinga kutokana na kuanguka

Usiwaache watoto wachanga kwa vitanda, au viti vya watoto vya magurudumu

Weka vitanda, viti, au meza ndefu mbali na dirisha

Vitu wanavyo tumia kucheza au bidhaa zinazo wavutia watoto usiviweke juu, pia hakikisha bidhaa nzito nzito kama kabati ziko dhabiti kwa ukuta.

Sources