Nawezaje kujua mtoto wangu atazaliwa lini
From Audiopedia
Ongeza miezi 9 (tisa) pamoja na siku 7 (saba) kutoka wakati ulipo maliza kupata damu ya mwezi ya kawaida. Mtoto wako atazaliwa pengine wakati wowote katika wiki 2 (mbili) kabla au baada ya tarehe hii.
Wanawake wengi hujua wakati mtoto wao atazaliwa kwa kuhesabu kupita kwa mwezi mara kumi (10)