Naweza zuia aje madhara ya afya ninapo fanya kazi mbali na nyumbani

From Audiopedia
Jump to: navigation, search

Fanya urafiki na wanawake wengine kazini. Wanawake hawa wanaweza kupa msaada.

Tafuta pahala salama pa kuishi. Kampuni nyingi huwa na bweni zao. Kunazo ambazo ni salama lakini nyingi yazo sio salama. Wakati mwingine, kuna pahala ambapo wanawake huishi kwa hali mbovu na wanalipa pesa nyingi sana za kukodi nyumba. Kampuni pia zaweza jifaidisha kwani wanawake hawa hawana uwezo wa kuishi wanapotaka.

Epuka hali hatari kama kuenda nyumbani usiku ukiwa peke yako

Kumbuka, kila mtu huwa na upweka mara ya kwanza. Hii ni kawaida.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw030129