Jinsi gani naweza kunyonyesha kama njia ya kupanga uzazi
From Audiopedia
Kupanga uzazi inamaanisha kupata watoto wakiwa wameachana kwa miaka 2 au 3. Hii huusaidia mwili wa mwanamke kupata nguvu kabla ya kupata mimba nyingine. Akina mama wengine, kunyonyesha huwasaidia kupanga uzazi.