Je ni vipi mazingira yasiyo salama kazini yaweza kuharibu afya yangu - Audiopedia
Viwanda vingi viko na mazingira yasiyo salama kwa kufanya kazi, kama vile:
- Madirisha na Milango iliyofungwa, ambapo huwa vigumu kwa wafanyikazi kutoroka nje wakati wa dharura, na ambayo huzuia hewa safi kuingia.
- Kufanya kazi mahali kuna sumu inayowakodolea macho, kama vile kemikali na mionzi, bila kizuizi au nguo za kuzuia.
- Vifaa visivyo salama.
- Hatari ya moto, kama nyaya za stima zilizolegea au kemikali au mvuke unaochoma kwa haraka.
- Hakuna maji safi, choo au wakati wa kupumzika.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw030123