Je kwanini huwa vigumu kwa mwanamke kusema 'La ' kwa unyanyasaji wa kinjisia kazini - Audiopedia
Kuna sababu nyingi zinazomsababisha mwanamke kutosema 'La' kwa unyanyasaji wa kijinisia kazini, baadhi yazo ni:
- Kuogopa kupoteza kazi, sababu anahitaji kazi hiyo kuisaidia familia yake na yeye mwenyewe.
- Huenda alilelewa kwa kufunzwa kuheshimu matakwa ya wakubwa wake na wanaume walio na mamlaka.
- Mwanamume huyo anaweza kuwa wa jamaa yake, na mwanamke anaweza kuogopa kukataa au malalamishi yatakayo chora picha mbaya yake.
Sources
- Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
- Audiopedia ID: sw030126